Teacher Msauzi
Teacher MsauziTeacher Msauzi ni kijana wa Kitanzania ambaye amefanikiwa kusafiri na kutembea na kuishi katika nchi mbalimbali ambapo amekutana na watu wa tabia na misimamo mbalimbali. Kuna msemo wa kiswahili unaosema MSAFIRI KAFIRI hivyo kutokana na Teacher Msauzi kusafiri mara kwa mara basi jina hili ndio ikawa kauli mbiu ya Teacher Msauzi. Mengi yanakuja kupitia podcast hii na platform nyingine. Huu ni mwanzo tu na ninahitaji maoni yako ili kuboresha podcast hii
- No. of episodes: 3
- Latest episode: 2021-04-14
- News Entertainment News